

Lugha Nyingine
Watu wafurahia likizo ya Siku ya Qingming nchini China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 07, 2025
![]() |
Watalii wakifurahia muda wa mapumziko kwenye bustani mjini Tengzhou, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, Aprili 6, 2025. (Picha na Li Zhijun/Xinhua) |
Siku ya Qingming, au tuseme ni Siku ya Kufagia Makaburi, iliangukia Ijumaa, Aprili 4 mwaka huu. Hii ni siku ya jadi ya China kwa watu kuwakumbuka watu waliofariki dunia na kuabudu mababu zao. Siku hiyo pia ni siku chache za mapumziko kwa raia wa China huku wakishiriki katika shughuli za kutembea kwenye maeneo yenye mandhari nzuri.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma