Kijiji cha Wuying katika Guangxi, China chahimiza kazi ya kurithisha na kuendeleza utamaduni wa kikabila

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 31, 2025
Kijiji cha Wuying katika Guangxi, China chahimiza kazi ya kurithisha na kuendeleza utamaduni wa kikabila
Watoto wakipiga Lusheng, ala ya kijadi ya kupuliza ya mwanzi, katika Kijiji cha Wuying kwenye mpaka kati ya Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China na Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Oktoba 5, 2024. (Xinhua/Huang Xiaobang)

Tangu mwaka 2017, kwa kuungwa mkono na mpango wa shirika moja kusaidia sehemu moja au kada mmoja kusaidia familia moja ya umaskini , serikali za mitaa zimekuwa zikiboresha hatua kwa hatua mazingira ya kuishi na miundombinu ya utamaduni katika Kijiji cha Wuying kwenye mpaka kati ya Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China na Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, zikilenga kuimarisha kazi ya kurithisha na kuendeleza utamaduni wa kikabila na kuhimiza ustawishaji wa kijiji.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha