

Lugha Nyingine
Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Zhongguancun 2025 wafunguliwa Beijing, China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 28, 2025
![]() |
Mshiriki akicheza chesi na roboti kwenye Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Zhongguancun 2025, mjini Beijing, Machi 27, 2025. (Xinhua/Zhang Chenlin) |
Ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Zhongguancun 2025 umefanyika mjini Beijing, jana Alhamisi, Machi 27.
Ukiwa na kaulimbiu ya "Nguvu Mpya za Uzalishaji zenye Sifa Bora na Ushirikiano wa Teknolojia Duniani," mkutano huo wa mwaka huu wa jukwaa hilo unahusisha sehemu kuu tano, zikiwemo zile za mikutano na biashara ya teknolojia.
Unatoa mawazo na maarifa mapya kwa ajili ya maendeleo ya uvumbuzi ya kimataifa katika miundo mikubwa ya AI, vifaa vya kisasa vinavyojiendesha na kujisimamia, teknolojia ya kwantamu, dawa za binadamu, 6G, maingiliano ya ubongo na kompyuta, na maeneo mengine ya kipaumbele katika shughuli 128.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma