

Lugha Nyingine
Rais wa China akutana na wajumbe wa sekta za viwanda duniani (2)
(CRI Online) Machi 28, 2025
Rais Xi Jinping wa China leo Ijumaa amekutana na wajumbe wa sekta za viwanda duniani kwenye Jumba la Mikutano la Umma la Beijing.
Rais Xi amesema kufungua mlango ni sera ya kimsing ya kitaifa ya China, na hivi sasa China inasukuma mbele ufunguaji mlango wa kiwango cha juu zaidi, haijabadili na haitabadilisha sera ya kutumia uwekezaji wa nje. Ameongeza kuwa China ni soko kubwa la pili duniani, na inadumisha utulivu wa kisiasa na kijamii, kwenda pamoja na China ni kwenda pamoja na fursa, kuamini China ni kuamini siku zijazo, na kuwekeza nchini China ni kuwekeza katika mustakabali mzuri.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma