

Lugha Nyingine
Mlima wa Theluji wa Yulong mjini Lijiang, China waleta Mandhari ya Kupendeza siku ya jua (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 27, 2025
Baada ya muda wa zaidi ya nusu mwezi wa hali ya hewa ya mvua na kuanguka kwa theluji, anga katika Mji wa Lijiang Mkoani Yunnan, China ilikuwa angavu ya bluu, siku ya Jumanne, Machi 25. Mwanga wa jua ulikuwa ukiangaza juu ya Mlima wa Theluji wa Yulong, na kilele chake cha theluji kilikuwa kimepakwa rangi ya dhahabu.
Anga, ziwa na Mlima huo Yulong vilikuwa kama vimeunganishwa, vikiunda picha kama ya kuchorwa ya majira ya mchipuko yenye rangi nzuri.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma