Jukwaa la Zhongguancun Mwaka 2025 kufanyika Beijing, China kuanzia leo Alhamisi (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 27, 2025
Jukwaa la Zhongguancun Mwaka 2025 kufanyika Beijing, China kuanzia leo Alhamisi
Roboti ya muundo wa binadamu ya Booster T1 ikitembea kwenye Kituo cha Uvumbuzi cha Kimataifa cha Zhongguancun, ukumbi wa Jukwaa la Zhongguancun Mwaka 2025, mjini Beijing, Machi 26, 2025. (Xinhua/Chen Zhonghao)

Jukwaa la Zhongguancun Mwaka 2025 likiwa na kaulimbiu ya "Nguvu Mpya za Uzalishaji zenye Sifa Bora na Ushirikiano wa Teknolojia Duniani” limepangwa kufanyika kuanzia Tarehe 27 hadi 31,Machi. Mkutano wa mwaka huu wa jukwaa hilo unahusisha sehemu kuu tano, zikiwemo za mikutano na biashara ya teknolojia.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha