

Lugha Nyingine
Sherehe yafanyika kabla ya Sikukuu ya Sanyuesan kwenye shule ya msingi mkoani Guangxi, China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 26, 2025
Wanafunzi wa makabila mbalimbali kwenye shule ya msingi katika Wilaya inayojiendesha ya Kabila la Wamiao ya Rongshui ya Mji Liuzhou, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China wamefanya sherehe jana Jumanne kabla ya Siku ya Sanyuesan, yaani siku ya tatu ya mwezi wa tatu kwa kalenda ya kilimo ya China, wakivaa mavazi ya kijadi na kufanya maonyesho ya kijadi. Sikukuu hiyo ya Sanyuesan kwa mwaka huu itaangukia Machi 31.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma