Mkutano wa Mwaka 2025 wa BOAO kufunguliwa Hainan, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 25, 2025
Mkutano wa Mwaka 2025 wa BOAO kufunguliwa Hainan, China
Waandishi wa habari wakifanya kwenye kituo cha vyombo vya habari cha Mkutano wa Mwaka 2025 wa Jukwaa la Boao la Asia (BFA) mjini Boao, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Machi 24, 2025. (Xinhua/Zhang Liyun)

Ukiwa na kaulimbiu ya "Asia katika Dunia inayobadilika: Kuelekea mustakabali wa Pamoja," Mkutano wa Mwaka 2025 wa Jukwaa la Boao la Asia (BFA) umepangwa kufanyika kuanzia leo Tarehe 25 hadi Tarehe 28 Machi mkoani Hainan, kusini mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha