

Lugha Nyingine
Nchi ya Visiwa vya Shelisheli yashuhudia shughuli za utalii kufufuka hatua kwa hatua
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 24, 2025
![]() |
Watalii wakipiga picha na mnara wa saa wa Victoria mjini Victoria, Visiwa vya Ushelisheli, Machi 20, 2025. (Xinhua/Dong Jianghui) |
Ushelisheli ni nchi ya visiwa vya Bahari ya Hindi ambayo inajivunia rasilimali nyingi za utalii za mandhari za kuvutia za visiwa na hifadhi za mazingira ya asili. Shughuli za Utalii ambazo ni nguzo muhimu ya uchumi wa Visiwa vya Shelisheli, zinachangia asilimia 72 hivi ya Pato la Taifa la nchi hiyo. Nchi hiyo imekuwa ikishuhudia shughuli za utalii kufufuka hatua kwa hatua kutoka kwenye janga la UVIKO-19 kwani imeweza kukaribisha watalii zaidi ya 350,000 wa kigeni mwaka 2024.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma