

Lugha Nyingine
Eneo la Delta la Mto Yangtze lashuhudia upigaji hatua katika maendeleo ya kijani na jumuishi ya kiikolojia (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 24, 2025
Kupitia ulinzi na usimamizi wa pamoja, Ziwa Yuandang linalounganisha Wilaya ya Wujiang ya mji wa Suzhou katika Mkoa wa Jiangsu na Wilaya ya Qingpu ya Shanghai sasa limekuwa kivutio cha watalii.
Katika miaka ya hivi karibuni, Wilaya ya Wujiang ya mji wa Suzhou imekuwa ikifanya kazi pamoja na Wilaya ya Qingpu ya Mji wa Shanghai na Wilaya ya Jiashan ya Mkoa wa Zhejiang kuhimiza maendeleo ya kijani kupitia uhifadhi na usimamizi wa pamoja wa mazingira ya kiikolojia, usimamizi wa kutumia akili bandia na kuanzisha mifumo ya biashara ya Carbon dioxide, kama sehemu ya kampeni ya kuharakisha ujenzi wa maeneo ya kielelezo kwa ajili ya maendeleo ya kijani na jumuishi ya kiikolojia ya Mto Yangtze.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma