

Lugha Nyingine
Picha: Hali ya tasnia ya chai katika Wilaya ya Sanjiang, China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 24, 2025
![]() |
Mfanyakazi akichuma majani ya chai kwenye shamba la chai katika Wilaya inayojiendesha ya kabila la Wadong ya Sanjiang, Guangxi, kusini mwa China, Machi 21, 2025. (Xinhua/Zhang Ailin) |
Baada ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China, kampuni, ushirika wa wataalamu, na mashamba ya kifamilia ya chai karibu 500 katika Wilaya inayojiendesha ya Kabila la Wadong ya Sanjiang, Guangxi, kusini mwa China wanatumia kikamilifu msimu mzuri kwa ajili ya kuvuna chai ya majira ya mchipuko, wakifanya kazi huhimiza usindikaji kwa kina wa chai iliyovunwa, wakinufaisha zaidi ya watu 300,000 wanaohusika na tasnia hiyo ya chai.
Wilaya hiyo ya Sanjiang ina mashamba ya chai yenye ukubwa wa mu 215,000 (takriban hekta 14,333), huku ikiwa na thamani ya jumla ya mapato kwa mwaka ya Yuan bilioni 8.7 (takriban dola bilioni 1.2 za Marekani).
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma