

Lugha Nyingine
Mji wa Michezo wa Talanta unaojengwa na Kampuni ya China waendelea kujengwa Nairobi, Kenya (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 21, 2025
![]() |
Wafanyakazi wakifanya kazi kwenye eneo la ujenzi wa Mji wa Michezo wa Talanta unaojengwa na kampuni ya China jijini Nairobi, Kenya, Machi 18, 2025. (Xinhua/Han Xu) |
Ukiwa unapatikana katika Viwanja vya Jamhuri jijini Nairobi, Mji wa Michezo wa Talanta utakuwa na uwanja wa soka wa kiwango cha FIFA wenye uwezo wa kuwekwa viti vya watazamaji 60,000 unaojengwa na Kampuni ya Barabara na Madaraja ya China. Mradi huo unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka 2025 na kutumika kama uwanja mkuu kwa hafla ya ufunguzi na ufungaji, vilevile mechi za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma