

Lugha Nyingine
Viwanda vya nishati mpya vyaendelezwa katika Mkoa wa Shandong, China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 19, 2025
![]() |
Mfanyakazi akifanya kazi kwenye karakana ya Kampuni ya Teknolojia ya Nishati Mpya ya Shandong Chengxi katika Wilaya ya Qingyun ya Mji wa Dezhou, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Machi 18, 2025. (Xinhua/Fan Changguo) |
Katika miaka ya hivi karibuni, Wilaya ya Qingyun ya Mji wa Dezhou, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China imekuwa ikitumia nguvu yake bora katika rasilimali za umeme wa kijani kujenga Eneo Maalum la Viwanda la Nishati Mpya ya Kijani ya Karibu Utoaji Sifuri wa Kaboni (Zhongqing New Energy Green Near-Zero Carbon Industrial Park), ambalo limevutia na kuendeleza miradi mipya mbalimbali ya viwanda vya nishati mpya.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma