Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya CPC Xi Jinping afanya ziara ya ukaguzi mkoani Guizhou (10)

(CRI Online) Machi 18, 2025
Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya CPC Xi Jinping afanya ziara ya ukaguzi mkoani Guizhou

Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, Xi Jinping, amefanya ukaguzi katika kijiji cha kikabila kilichoko Eneo linalojiendesha la makabila ya Wamiao na Wadong la Qiandongnan, mkoani Guizhou, kusini magharibi mwa China.

Xi ametembelea kijiji cha Zhaoxing Dong kilichoko Wilaya ya Liping ili kufahamu hali ya sehemu hiyo katika kuimarisha ujenzi wa muundo wa ngazi ya msingi ya Chama, kuboresha utawala wa jamii, kulinda na kuboresha mila na desturi ya utamaduni wa kikabila, na kuendeleza ufufuaji wa kina wa vijijini.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha