Wakulima katika Mkoa wa Xizang, China wakaribisha kilimo cha majira ya mchipuko (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 17, 2025
Wakulima katika Mkoa wa Xizang, China wakaribisha kilimo cha majira ya mchipuko
Picha iliyopigwa Machi 16, 2025 ikionyesha hafla ya kuanza kwa kilimo cha majira ya mchipuko katika Tarafa ya Qangka ya Wilaya ya Lhunzhub ya Mji wa Lhasa, Mkoa unaojiendesha wa Xizang, kusini-magharibi mwa China. (Xinhua/Jigme Dorje)

Hafla ya kuanza kwa kilimo cha majira ya mchipuko imefanyika sehemu mbalimbali katika Mkoa unaojiendesha wa Xizang, kusini-magharibi mwa China jana Jumapili, Machi 16. Hafla hiyo ina umuhimu mkubwa kwani imeonesha mwanzo wa majira ya kilimo ya mwaka mpya, na hii pia ni hafla ya kuombea hali ya hewa nzuri na mavuno mengi. Inachukuliwa kuwa hafla muhimu katika maeneo ya kilimo ya mkoa huo wa Xizang.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha