

Lugha Nyingine
Ujenzi wa Eneo Jipya la Xiong'an la China wahimizwa kwa hatua madhubuti (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 14, 2025
![]() |
Picha hii iliyopigwa Machi 12, 2025 ikionyesha taa mahiri za barabarani katika eneo la Rongdong la Eneo Jipya la Xiong'an, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China. (Xinhua/Mu Yu) |
XIONG'AN - Tangu China itangaze mpango wa kuanzisha Eneo Jipya la Xiong'an mwezi Aprili, mwaka 2017, eneo hili limekuwa likipitia mabadiliko mbalimbali kutoka ramani ya mwonekano wake hadi kuwa mji wenye kustawi.
Maendeleo ya Eneo Jipya la Xiong'an, ambalo pia limepewa jina la "mji wa siku za baadaye" wa China, yameingia katika kipindi ambapo umuhimu sawia lazima uwekwe kwenye vyote ujenzi mkubwa na madhumuni yake ya kusaidia kupunguza shughuli na viwanda visivyo vya majukumu ya lazima kwa mji wa Beijing ukiwa mji mkuu wa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma