Muhula mpya wa masomo waanza nchini China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 18, 2025
Muhula mpya wa masomo waanza nchini China
Askari wa Zimamoto akielezea lori la zimamoto kwa wanafunzi katika shule ya Eneo la Changning la Shanghai, mashariki mwa China, Februari 17, 2025. (Xinhua/Fang Zhe)

Wakiwa na mchanganyiko wa hisia za wasiwasi na msisimko, wanafunzi wengi nchini China wameanza masomo yao katika darasa maalumu la kwanza la muhula mpya.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha