Watu wa kabila la Wamiao washerehekea Sikukuu ya Gannangxiang mkoani Guizhou, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 17, 2025
Watu wa kabila la Wamiao washerehekea Sikukuu ya Gannangxiang mkoani Guizhou, China
Watoto wa kabila la Wamiao wakipiga ala ya Lusheng ya kijadi kwa kusherehekea Sikukuu ya Gannangxiang huko Zhouxi, Mji wa Kaili, Eneo linalojiendelesha la Makabila ya Wamiao na Wadong la Qiandongnan, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Februari 15, 2025. (Xinhua/Yang Wenbin)

Katika Mji wa Kaili, Eneo linalojiendelesha la Makabila ya Wamiao na Wadong la Qiandongnan, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China watu wa kabila la Wamiao wana desturi ya kuvaa mavazi yao ya kijadi huku wakipiga ala ya kijadi ya Lusheng, kwa kusherehekea Sikukuu ya Gannangxiang ya mwaka, sherehe yenye historia ndefu mkoani humo Guizhou katika mwezi wa kwanza kwa kalenda ya kilimo ya China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha