

Lugha Nyingine
Meli ya kupasua barafu ya China, Xuelong-2 yafanya uchunguzi wa mfumo wa ikolojia baharini katika Bahari ya Amundsen (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 13, 2025
Meli ya kupasua barafu baharini ya China, Xuelong 2, inafanya uchunguzi wa mwezi mzima juu ya mfumo wa ikolojia baharini katika Bahari ya Amundsen, uchunguzi huo unahusisha uchunguzi na ufuatiliaji wa pande zote wa ikolojia ya viumbe, maji, mazingira ya miamba na hewa na utapakaji wa vitu vya uchafuzi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma