Tamasha la 41 la Kimataifa la Barafu na Theluji la Harbin nchini China laanza rasmi (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 06, 2025
Tamasha la 41 la Kimataifa la Barafu na Theluji la Harbin nchini China laanza rasmi
Picha ya droni iliyopigwa Januari 5, 2025 ikionyesha watembeleaji wakifurahia katika Bustani ya Dunia ya Barafu na Theluji ya Harbin , Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China. (Xinhua/Xie Jianfei)

Tamasha la 41 la Kimataifa la Barafu na Theluji la Harbin limeanza rasmi jana Jumapili huko Harbin katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China likiwa na kaulimbiu ya "Ndoto ya Majira ya Baridi, Upendo kati ya Watu wa Asia."

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha