“Mwanga wa Mtandao wa Internet” wang’arisha Wuzhen (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 20, 2024
“Mwanga wa Mtandao wa Internet” wang’arisha Wuzhen
Novemba 19, katika eneo la roboti yenye umbo la binadamu kwenye maonyesho ya “Mwanga wa Mtandao wa Internet” wa Mkutano wa Mtandao wa Internet Duniani 2024, wageni walipeana mikono na roboti yenye umbo la binadamu. (Picha na Cai Xiangxin/ Xinhua)

Novemba 19, Maonyesho ya “Mwanga wa Mtandao wa Internet” wa Mkutano wa Mtandao wa Internet Duniani 2024 yalifunguliwa huko mjini Wuzhen, mkoani Zhejiang. Maonyesho haya yameweka akili Bandia(AI) kama kipaumbele cha maonyesho, yakijumuisha shughuli tano kuu: kuonyesha bidhaa, kutangaza bidhaa na teknolojia mpya, kuwavutia watu wenye ujuzi, kuunganisha ushirikiano wa viwanda, na kutangaza bidhaa za“Mwanga Mpya” .

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha