Rais Xi Jinping wa China akutana na Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 19, 2024
Rais Xi Jinping wa China akutana na Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer
Asubuhi ya Tarehe 18, Novemba kwa saa za huko, Rais Xi Jinping wa China amekutana na Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer katika wakati wa kuhudhuria kwenye Mkutano wa 19 wa kundi la nchi 20 (G20) huko Rio de Janeiro, Brazil. (Picha na Zhang Ling/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha