Rais wa Peru aandaa hafla kubwa ya ukaribisho wa Rais Xi Jinping wa China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 15, 2024
Rais wa Peru aandaa hafla kubwa ya ukaribisho wa Rais Xi Jinping wa China
(Picha/Xinhua)

Rais Xi Jinping wa China siku ya Alhamisi alihudhuria hafla kubwa ya ukaribisho iliyoandaliwa na Rais Dina Boluarte wa Peru.

Rais Xi aliwasili Peru mapema siku hiyo ili kufanya ziara ya kiserikali katika nchi hiyo na kuhudhuria Mkutano wa 31 wa Viongozi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia Pasifiki (APEC).

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha