

Lugha Nyingine
Njia ya kufikisha mizigo kwa wateja kwa kutumia droni yaanza kufanya kazi rasmi Shenzhen, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 24, 2024
Njia ya kufikisha oda za bidhaa kwa kutumia droni imeanza kufanya kazi rasmi katika Mji wa Shenzhen, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China siku ya Jumatano, ikiwa ni njia ya kwanza ya kawaida katika eneo la bandari. Wateja watapokea bidhaa zao ndani ya dakika 10 baada ya kuweka oda. Watu wanaosafiri kati ya Hong Kong na Shenzhen wanaweza kufurahia huduma hiyo ya kufikisha bidhaa kwa droni karibu na eneo la kuvuka mpaka.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma