

Lugha Nyingine
Maonyesho ya Teknolojia za Akili Mnemba Duniani Mwaka 2024 yafunguliwa Tianjin, China (9)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 21, 2024
![]() |
Washiriki wanaonekana pichani wakielekea kwenye Kituo cha Kitaifa cha Mikutano na Maonyesho mjini Tianjin, Kaskazini mwa China, Juni 20, 2024. (Xinhua/Sun Fanyue) |
Maonyesho ya Teknolojia za Akili Mnemba Duniani Mwaka 2024 yamefunguliwa siku ya Alhamisi mjini Tianjin, Kaskazini mwa China. Yakiwa na kaulimbiu isemayo "Akili Mnemba: Nafasi kubwa ya Maendeleo, Kichocheo cha Ukuaji Endelevu," maonyesho hayo yanaandaliwa kwa pamoja na serikali za miji ya Tianjin na Chongqing ya China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma