

Lugha Nyingine
Picha za ubora wa juu (HD) za Kituo kizima cha China cha anga ya juu zatolewa kwa umma kwa mara ya kwanza (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 29, 2023
![]() |
Picha kwa hisani ya Ofisi ya Uhandisi wa Safari za Vyombo vya kubeba binadamu kwenda Anga ya Juu wa China (CMS). |
Mchana wa tarehe 28, Novemba, ujumbe wa Uhandisi wa Safari za Vyombo vyenye kubeba binadamu kwenda Anga ya Juu wa China ulishiriki kwenye mkutano na waandishi wa habari ulioandaliwa na serikali ya Mkoa wa Utawala Maalumu wa Hong Kong. Katika mkutano huo, picha za panoramia za kituo kizima cha China cha anga ya juu, ambazo zilipigwa na wanaanga wa Chombo cha kubeba binadamu kwenye anga ya juu cha Shenzhou-16 cha China kupitia kushika kamera zenye kupiga picha za ubora wa juu wakati wakiruka karibu na kituo hicho kabla ya kurudi duniani zilionyeshwa na ujumbe huo, ili kuzionesha kwa umma mara ya kwanza.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma