Katika picha: Teknolojia za hali ya juu zinazoonyeshwa kwenye Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 10, 2023
Katika picha: Teknolojia za hali ya juu zinazoonyeshwa kwenye Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE)
Picha hii iliyopigwa Novemba 7, 2023 ikionyesha mbwa roboti inayoonyeshwa na Kampuni ya HEXAGON kwenye Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) mjini Shanghai, Mashariki mwa China, Novemba 9, 2023. (Xinhua/Zhang Jiansong)

Kuanzia roboti mbalimbali zinazotumia teknolojia za akili bandia kama vile roboti mbwa, magari yanayojiendesha yenyewe, uvumbuzi wa upandaji mimea ya kilimo hadi mifumo ya vifaa tiba vya kisasa, teknolojia za hali ya juu zimewavutia watembeleaji wengi kwenye mabanda mbalimbali ya Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yaliyofanyika Shanghai, Mashariki mwa China, Novemba 5 na yamepangwa kukamilika leo Ijumaa, Novemba 10.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha