

Lugha Nyingine
Picha: Ujenzi wa bandari mbalimbali katika miaka 10 tangu Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” litolewe waleta fursa mpya za ushirikiano (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 09, 2023
![]() |
Picha iliyopigwa tarehe 14, Oktoba, 2022 ikionesha gati la pili la makontena la Bandari ya Abidjan, Cote d'Ivoire. (Picha kutoka Xinhua/kwa hisani ya kampuni ya CHEC) |
Oktoba 3, 2013, China ilitoa pendekezo la kujenga kwa pamoja Njia ya Hariri ya Baharini ya Karne ya 21. Pendekezo hilo pamoja na lile la Ukanda wa Kiuchumi wa Njia ya Hariri, lililotolewa na China mwaka huo huo yameunda “Ukanda Mmoja, Njia Moja”, na kufungua ukurasa mpya katika ushirikiano wa kimataifa. Katika mwongo uliopita, pendekezo la kujenga pamoja Ukanda Mmoja, Njia Moja limeleta simulizi nyingi zaidi kuhusu ustawi wa pamoja kwenye bahari ya buluu. Bandari mbalimbali mpya zimejengwa na kukamilika moja baada ya nyingine, zikitoa fursa mpya za ushirikiano.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma