Teknolojia za kisasa zavutia watembeleaji wa Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China Mwaka 2023 (CIFTIS) mjini Beijing (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 04, 2023
Teknolojia za kisasa zavutia watembeleaji wa Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China Mwaka 2023 (CIFTIS) mjini Beijing
Picha hii ikionyesha chombo cha kidijitali cha kutangaza moja kwa moja mtandaoni kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China Mwaka 2023 (CIFTIS) yanayofanyika katika Bustani ya Shougang hapa Beijing, China, Septemba 3, 2023. (Xinhua/Ren Chao)

Yakiwa na kaulimbiu ya "Kufungua mlango kwa kuongoza maendeleo, kufanya ushirikiano kwa kujenga siku za baadaye" Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China (CIFTIS) Mwaka 2023 yanafanyika Beijing kuanzia Septemba 2 hadi 6 na yanahusisha shughuli mbalimbali zaidi ya 200, zikiwemo pamoja na makongamano, majadiliano na mikutano ya kilele.

Kwenye maonyesho hayo, teknolojia za kisasa zimevutia macho ya watembeleaji.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha