

Lugha Nyingine
Mji wa Zibo, Mashariki mwa China waongeza juhudi za kuendeleza viwanda vinavyoibukia (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 26, 2023
![]() |
Roboti ikitengeneza kahawa kwenye kampuni ya roboti katika Eneo la Linzi la Mji wa Zibo, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Julai 25, 2023. (Xinhua/Zhang Haobo) |
Katika miaka ya hivi karibuni, Mji wa Zibo, Mashariki mwa China umeongeza juhudi za kuendeleza viwanda vinavyoibukia vikiwemo nyenzo mpya, vifaa vinavyotumia teknolojia za akili bandia na dawa mpya, na kujiendeleza kuelekea kwenye mkondo wa maendeleo ya kijani, yenye kutoa kaboni chache na yenye ubora wa hali ya juu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma