

Lugha Nyingine
Kilimo cha Teknolojia za Kidijitali chasaidia wakulima kuongeza kipato huko Guizhou, China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 26, 2023
Katika miaka ya hivi karibuni, Mkoa wa Guizhou kwa kutegemea nguvu bora ya maendeleo ya data kubwa, umehimiza kuharakisha matumizi ya teknolojia za kidijitali katika kilimo cha aina mpya katika umwagiliaji na mabanda ya upandaji wa mimea yanayotumia teknolojia za akili bandia ili kuongeza ufanisi wa uzalishaji wa kilimo. Mafungamano ya teknolojia ya kidijitali na kilimo yameleta uhai wa kustawi kwa kilimo cha jadi, na kunawasaidia wakulima kuongeza kipato chao. (Picha zimepigwa na Yang Wenbin/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma