Bidhaa za teknolojia ya hali ya juu za kampuni za China zaonekana kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 14, 2023
Bidhaa za teknolojia ya hali ya juu za kampuni za China zaonekana kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China
Picha iliyopigwa Tarehe 11, Aprili ikionesha mbwa roboti wa kampuni ya iFLYTEK.

Maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) yamevutia kampuni mbalimbali za teknolojia kushiriki. Kampuni za China zinazoshiriki kwenye maonesho hayo zimeonesha bidhaa zao za teknolojia ya hali ya juu, na kuwavutia watembeleaji kutazama kwa ukaribu au kujaribu bidhaa hizo zenye teknolojia mpya zaidi. (Picha zinatoka Shirika la Habari la China Xinhua.)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha