Mwaleta mwanga Zanzibar (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 08, 2023
Mwaleta mwanga Zanzibar
Februari 23, Dong Lili (kulia) akimfanyia upasuaji Musin katika Hospitali ya Mnazi Mmoja ya Zanzibar, Tanzania.

Dong Lili anayetoka hospitali ya umma ya Mji wa Taizhou,Mkoa wa Jiangsu,ni daktari wa macho wa Timu ya 32 ya madaktari wa China katika Zanzibar, hivi sasa anafanya kazi ya matibabu na mafunzo katika hospitali ya Mnazi Mmoja ya Zanzibar.

Musin, mwenye umri wa miaka 46 ambaye ni mgonjwa wa mtoto wa jicho, amekuwa hawezi kuona kwa jicho lake la kushoto kwa miaka mitatu. Siku ya kwanza baada ya upasuaji wa mtoto wa jicho aliofanya Dong Lili, uwezo wake wa kuona kwa jicho la kushoto la Musin yalifikia 0.3. Kuanzia mwezi Oktoba mwaka jana mpaka sasa, Dong Lili amefanya upasuaji wa mtoto wa jicho mara 297 katika hospitali hiyo, na kuleta mwanga kwa wagonjwa.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha