

Lugha Nyingine
Maonyesho ya Kimataifa ya Uwekezaji na Biashara ya Liaoning ya Mwaka 2022 yanaanza
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 21, 2022
Maonyesho ya Kimataifa ya Uwekezaji na Biashara ya Liaoning ya 2022 yameanza Ijumaa. Maonyesho hayo yenye kaulimbiu isemayo "Panua Mkondo wa Kufungua Mlango, Shiriki Maendeleo ya Kijani," yanalenga kuhimiza mafanikio ya ufufuaji wa uchumi na maendeleo ya Mkoa wa Liaoning, na kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya mkoa huo na maeneo mengine. (Xinhua/Wang Yijie)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma