

Lugha Nyingine
Tembelea kwenye kituo cha kwanza cha majaribio ya kutumia magari yanayojiendesha nchini China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 03, 2022
Eneo la Maendeleo ya Uchumi na Teknolojia la Beijing ni kituo cha kwanza cha majaribio ya kutumia magari yanayojiendesha nchini China. Katika eneo hilo, teksi zinazojiendesha zimeingia kwenye maisha ya kawaida ya watu. (Mpiga picha: Peng Ziyang/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma