Chuo Kikuu cha China chaweka rekodi mpya ya Guinness ya droni kuruka kwa muda mrefu zaidi (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 24, 2022
Chuo Kikuu cha China chaweka rekodi mpya ya Guinness ya droni kuruka kwa muda mrefu zaidi
Picha hii iliyopigwa Januari 21, 2022 ikionesha ornithopter iliyotengenezwa na BUAA ikiruka. (Picha inatoka Shirika la Habari la China Xinhua.)

Ornithopter iliyotengenezwa na watafiti na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Usafiri wa Ndege na Safari ya Anga ya Juu cha China (BUAA) iliruka kwa saa moja na nusu na sekundi 4.98 mfululizo, na kuweka rekodi mpya ya Guinness ya ornithopter kuruka kwa muda mrefu zaidi.

Ornithopter ni aina ya ndege inayoruka kwa kupiga mabawa wa mashine bila ya rubani.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha