

Lugha Nyingine
Magari yanayojiendesha kwa akili bandia yahudumia eneo la vivutio vya utalii
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 12, 2022
![]() |
Gari la kusafisha lisilo na dereva likisafisha ardhi kwenye Bustani ya Misitu ya taifa ya Binhu, Mji wa Hefei wa Mkao wa Anhui tarehe 11, Oktoba. |
Hivi karibuni, majaribio ya magari yanayojiendesha yameanza kufanyika rasmi kwenye Bustani ya Misitu ya kitaifa ya Binhu, mji wa Hefei wa Mkoa wa Anhui, China.
Huo pia ni mmoja wa miradi ya kwanza ya majaribio ya utumiaji wa magari ya akili bandia.
Mradi huo unahusisha utumiaji wa magari yanayojiendesha ya kubeba watalii kutembelea kwenye bustani, magari ya manunuzi yasiyo na wauzaji, magari ya kusafisha yasiyo na madereva n.k., ili kuleta huduma kirahisi kwa watalii. (Picha zilipigwa na Guochen/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma