China yafaulu kurusha satelaiti ya Yaogan No.36

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 27, 2022
China yafaulu kurusha satelaiti ya Yaogan No.36
(Picha inatoka tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.)

Saa 3:38 jioni ya Tarehe 26, Septemba, China ilifaulu kurusha satelaiti ya Yaogan No.36 kutoka kituo cha kurusha satelaiti ya Xichang kwa maroketi ya Changzheng No.2 D, satelaiti hizo zimeingia vizuri kwenye obiti iliyopangiwa kwenye anga ya juu. Kazi hii ya kurusha satelaiti imepata mafanikio mazuri.(Picha ilipigwa na Qiu Lijun/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha