Teknolojia za kisasa za habari zatumika kwa kilimo katika Mkoa wa Heilongjiang, nchini China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 05, 2022
Teknolojia za kisasa za habari zatumika kwa kilimo katika Mkoa wa Heilongjiang, nchini China
Picha iliyopigwa Septemba 2, 2022 ikionyesha mpangilio sanifu wa mimea hai ya rangi tofauti katika eneo la vielelezo la teknolojia ya mpunga katika Mji wa Fujin, Mkoa wa Heilongjiang Kaskazini Mashariki mwa China. (Xinhua/Wang Jianwei)

Teknolojia za kisasa za habari ikiwa ni pamoja na intaneti ya vitu na utaalamu wa kompyuta wingu zinatumika kwa ajili ya usimamizi wa kuzalisha mbegu, umwagiliaji wenye kuokoa maji, ufuatiliaji wa hali ya hewa, ufuatiliaji wa ukuaji wa nafaka, pamoja na udhibiti wa wadudu na magugu katika eneo la kielelezo ili kuboresha uzalishaji kwa wingi na ubora wa mazao ya mpunga. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha