

Lugha Nyingine
Maonesho ya 10 ya Tehama ya China yafunguliwa Shenzhen
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 17, 2022
Siku hiyo, Maonesho ya 10 ya Tehama ya China yalifunguliwa katika Kituo cha Maonesho ya Shenzhen. Mada ya maonesho hayo ni “kufanya juhudi kwa miongo, kujenga siku za baadaye kwa uwerevu”, eneo lake ni mita laki moja za mraba, na kampuni zaidi ya 1400 zimeshiriki kwenye maonesho hayo.
(Mpiga picha: Liang Xu/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma