Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi wa Kidijitali wa Mwaka 2022 wafanyika Beijing, China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 29, 2022
Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi wa Kidijitali wa Mwaka 2022 wafanyika Beijing, China
Mfanyakazi akionyesha programu ya simu ya mkononi ambayo hutoa ziara ya mtandaoni ya Ukuta Mkuu wa China kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi wa Kidijitali wa Mwaka 2022 katika Kituo cha Taifa cha Mikutano cha China hapa Beijing, Mji Mkuu wa China, Julai 28, 2022. (Xinhua/Chen Zhonghao)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha