Mradi wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jua waaanza kuzalisha umeme uliounganishwa kwenye gridi ya taifa nchini China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 22, 2022
Mradi wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jua waaanza kuzalisha umeme uliounganishwa kwenye gridi ya taifa nchini China
Picha iliyopigwa kutoka angani Tarehe 21 Julai 2022 ikionyesha Mradi wa Kielelezo wa Kuzalisha umeme kwa nishati ya jua wa kisima cha mafuta cha Xinghuo huko Daqing, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini-Mashariki mwa China. (Xinhua/Zhang Tao)

Mradi wa Kielelezo wa Kuzalisha umeme kwa nishati ya jua wa kisima cha mafuta cha Xinghuo, ambao ni mradi wa kwanza wa Shirika la Taifa la Petroli la China, uliobuniwa na kujengwa kwa kujitegemea, umeanza kuzalisha umeme uliounganishwa kwenye gridi ya taifa hivi karibuni.

Mradi huo wenye eneo la ujenzi la mita za mraba 400,000 na uwezo wa kufunga Megawati 18.73, unazalisha umeme wa kWh milioni 27.5 kwa mwaka na utapunguza utoaji wa tani 22,000 za hewa ya kaboni. (Xinhua/Zhang Tao)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha