

Lugha Nyingine
Jumba la Maonesho la Sayansi ya Ikolojia ya Maji ya Mto Manjano na Mto Changjiang lafunguliwa huko Hohhot, Mongolia ya Ndani (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 13, 2022
Julai 12, 2022, Jumba la Maonesho la Sayansi ya Ikolojia ya Maji ya Mto Manjano na Mto Changjiang huko Hohhot wa Mongolia ya Ndani lilifunguliwa rasmi kwa umma.
Habari zilisema kuwa eneo la jumba la maonesho hilo ni mita 3000 za mraba, na linaonesha kijumuishi hali ya utumiaji na ulinzi wa rasilimali ya maji, na mafanikio ya usimamizi wa ulinzi wa mazingira ya ikolojia ya maji katika mikoa 20 iliyoko maeneo ya Mto Manjano na Mto Changjiang kwa kutumia njia ya picha ya kisasa na teknolojia ya kidijitali ili kueneza mawazo na ujuzi wa kuokoa maji kwa umma. (Mpiga picha: Ding Genhou/Tovuti ya Picha ya Umma)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma