

Lugha Nyingine
Zhoushan, Zhejiang kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo kwenye bahari isiyotoa cabo nyingi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 04, 2022
Julai 2, 2022, katika kiwanja cha 4 cha Mlima Daishan cha kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo kwenye eneo la bahari la kaskazini mwa Mji wa Zhoushan, Mkoani Zhejiang, mashine 54 za kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo zinabadilisha upepo wa bahari kuwa nishati ya kuzalisha umeme isiyoleta uchafuzi kwa mazingira na kupeleka umeme kwenye mfumo wa umeme wa taifa kwa matumizi ya Kituo cha mafuta ya petroli na kemikali bila kuharibu mazingira cha Zhejiang. (Mpiga picha: Yao Feng/Tovuti ya Picha ya Umma)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma