China yajiandaa kurusha chombo cha Shenzhou No.14 kwenye anga ya juu (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 30, 2022
China yajiandaa kurusha chombo cha Shenzhou No.14 kwenye anga ya juu
Vyombo vya muunganisho wa chombo cha kubeba binadamu cha anga ya juu cha Shenzhou No.14 na roketi ya kubeba chombo cha Changzheng No.2 F vikiwasilishwa hadi kwenye eneo la kurusha vyombo kwenye anga ya juu katika Kituo cha Kurushia Satelaiti cha Jiuquan, Kaskazini-Magharibi mwa China, Mei 29, 2022. (Picha na Wang Jiangbo/Xinhua)

JIUQUAN - Idara ya Anga za Juu ya China (CMSA) imesema jana Jumapili kwamba, vyombo vya muunganisho wa chombo cha kubeba binadamu cha anga ya juu cha Shenzhou No.14 na roketi ya kubeba chombo ya Changzheng No.2 F vimewasilishwa kwenye eneo la kurusha vyombo kwenye anga ya juu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha