Ujenzi wa Reli ya mwendo kasi ya Xi’an-Yan’an waendelea kwa hatua madhubuti (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 28, 2022
Ujenzi wa Reli ya mwendo kasi ya Xi’an-Yan’an waendelea kwa hatua madhubuti
Wajenzi wa Idara ya 20 ya Reli ya China wakifanya kazi katika handaki la barabara la Luochuan kwenye sehemu ya zabuni XYZQ-8 ya ujenzi wa Reli ya mwendo kasi ya Xi’an-Yan’an katika Wilaya ya Luochuan ya Mji wa Yan’an Aprili 25.

Siku za hivi karibuni, hali ya hewa limeanza kuwa na joto kidogo katika eneo la uwanda wa juu wa udongo wa kimanjano mkoani Shanxi, idara za ujenzi zimetumia hali hii inayofaa kwa ujenzi, zikihimiza ujenzi wa mradi huo kwa hatua madhubuti.

Reli ya mwendo kasi ya Xi’an-Yan’an ni sehemu muhimu ya Mtandao wa Njia ya Reli ya mwendo kasi wa China ikijumuisha njia ya Reli ya Mwendo Kasi ya Baotou-Haikou. Baada ya kumalizika na kuzinduliwa kwa reli hiyo, itapunguza muda wa kusafiri kutoka Xi’an hadi Yan’an na kuwa saa moja hivi kutoka masaa mawili na nusu ya awali. (Mpiga picha: Zhang Bowen)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha