

Lugha Nyingine
Maonesho ya uenezi wa sayansi ya anga ya juu yavutia watu (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 19, 2022
Aprili 17, 2022, Watu walitembelea kwenye maonesho ya uenezi wa sayansi ya anga ya juu katika Makumbusho ya Sayansi na Teknolojia ya Ningxia, China. Imeripotiwa kwamba, baada ya jukumu la Chombo cha Shenzhou No. 13 cha kubeba binadamu kwenye safari ya anga ya juu kutekelezwa kwa mafanikio, maonesho ya uenezi wa sayansi ya anga ya juu katika Makumbusho ya Sayansi na Teknolojia ya Ningxia yalivutia watu wengi waolikwenda kutembelea na kujionea teknolojia ya anga ya juu, kufahamishwa ujuzi kuhusu safari kwenye anga ya juu na kuhisi mvuto wake . (Mpiga picha: Yuan Hongyan/Tovuti ya Picha ya Umma)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma