

Lugha Nyingine
Beijing: Panda Sabwei isiyo na Dereva
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 28, 2021
Desemba 24, Sabwei za Beijing za njia ya Yanfang zilikamilisha uondoaji wa milango iliyopo ya kuigawa magari ya sabwei katika mabehewa, kuondoa sehemu ya dreva na kuanza kutumia mfumo wa kujiendesha yenyewe bila dreva. Sehemu ya kukaa dreva kwa sasa imekuwa “sehemu ya kuangalia mandhari” na kuvutia abiria wengi.
Sabwei za Beijing za Njia ya Yanfang zilizinduliwa Desemba 30, 2017, na zilianza kujiendesha kwenye kiwango cha juu zaidi Desemba, 2019. Mchakato mzima wa uendeshaji wa gari hauhitaji dereva. (Picha/Li Xin kutoka Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma