

Lugha Nyingine
Timu ya Madaktari wa China ya Kikosi cha 25 cha walinda amani nchini DRC yatumia Akili Bandia (AI) Kuthibitisha haraka ugonjwa wa Malaria (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 14, 2021
Hivi karibuni, timu ya madaktari wa China ya Kikosi cha 25 cha walinda amani nchini DRC ilitumia mfumo wa Akili Bandia (AI) uliotengenezwa na China wa kupima na kuthibitisha kimelea cha malaria, ikifanya upimaji na kuthibitisha haraka wagonjwa 21 wa Umoja wa Mataifa wanaodhaniwa kuambukizwa Malaria, na pia ilitoa matibabu yenye ufanisi kwa wakati. Hivi sasa wagonjwa hao wamepona vizuri.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma