Wanaanga wa Shenzhou No.13 wamaliza kwa mafanikio shughuli zilizopangwa kwa mara ya kwanza nje ya chombo (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 08, 2021
Wanaanga wa Shenzhou No.13 wamaliza kwa mafanikio shughuli zilizopangwa kwa mara ya kwanza nje ya chombo
Picha inaonesha wanaanga wa Shenzhou No.13 Bi.Wang Yaping (kulia) akiwa amemaliza kazi za kuondoka kwenye chombo. (Xinhua/Guo Zhongzheng)

Kwa mujibu wa habari kutoka Ofisi ya Mradi wa usafiri kwenye Anga ya Juu ya China, Saa Saba na Dakika 16 usiku, Tarehe 8, Novemba muda wa Beijing, baada ya shughuli za masaa 6.5, wanaanga wa Shenzhou No. 13 wameshirikiana na kumaliza kwa mafanikio kazi zote zilizopangwa kwa safari ya kuondoka kwenye chombo cha safari kwenye anga ya juu. Wanaanga hao Zhai Zhigang na Wang Yaping wamerudi kwenye kiini cha chombo cha Tianhe, na shughuli za kuondoka kwenye chombo zimefaulu kabisa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha